Piczo

Log in!
Stay Signed In
Do you want to access your site more quickly on this computer? Check this box, and your username and password will be remembered for two weeks. Click logout to turn this off.

Stay Safe
Do not check this box if you are using a public computer. You don't want anyone seeing your personal info or messing with your site.
Ok, I got it
BREAKING NEWS FROM BONGO LAND
Kiongozi wa jimbo la kusini mwa Afghanistan amesema watu 20 wameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyotekelezwa na muungano wa majeshi ya kimataifa.
Gavana wa jimbo la Helmand, Asadullah Wafa, ameelezea kwamba watu hao waliuawa wakati majeshi hayo kwa kusaidiana na majeshi ya NATO, yalipopambana na wapiganaji wa Taleban.

Idadi ya watu wanaouawa katika mashambulizi ya anga na wanajeshi wa kigeni kila siku, imeongezeka nchini Afghanistan na kusababisha wasiwasi kuwa huenda watu nchini humo nao wakayashambulia majeshi hayo.
LIVERPOOL v/s FULHAM

Kumbuka Liverpool ndio tu wameiondoa Chelsea katika kuwania ubingwa wa kombe la klabu bingwa Ulaya.
Mechi hiyo itachezewa katika uwanja wa Fulham wa Craven Cottage.
Mechi itaanza saa kumi na moja kamili za Afrika Mashariki, au kumi za Afrika ya Kati.
Kumbuka matangazo yetu ya Ulimwengu wa Soka yanaanza kabla ya hapo; kumi unusu za Afrika Mashariki.
Mbali na hayo, utaweza pia kupata taarifa mbalimbali za soka ya Afrika.
Tutakupa fursa pia wewe kama shabiki wa michezo kutoa maoni yako.
Ni matumaini yetu mwanaspoti kwamba utakuwa nasi kuanzia mwanzo hadi mwisho.
EMINEM HAS COME OUT OF RETIREMENT.

The rapper is currently working on his first studio album in three years,
despite previously saying his greatest hits record 'Curtain Call' would be
his last.

The 'Stan' singer claims he is now able to return to work after sorting out
problems in his personal life.

Eminem - who remarried wife Kim last year before the pair split again -
said: "I'm always working - I'm always in the studio. It feels good right
now. For a while, I didn't want to go back to the studio. I went through
some personal things, but I'm coming out of those personal things now and it
feels good."
When Eminem released 'Curtain Call' in 2005 he refused to dispel rumors the
LP signalled the end of his phenomenal music career as a recording artist.

He said at the time: "I'm at a point in my life right now where I feel like
I don't know where my career is going. This is the reason I called it
'Curtain Call', because this could be the final thing. I don't know."